AMA kweli penzi ni kikohozi kulificha huwezi! Hatimaye uliokuwa uhusiano wa
chini kwa chini wa nyota wawili wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’
na Chuchu Hans, siyo siri tena baada ya wahusika hao wakuu kujiachia
‘live’, Ijumaa limeshiba.
*Ray na Chuchu Hans wakiwa katika pozi la kimahaba.*
KIMAHABA ZAIDI
Ishu hiyo ilitokea mapema wiki hii ambapo Chuchu alitundika picha kwenye
ukurasa wake wa Instagram akiwa na Ray chumbani kimahaba.
Kufuatia tukio hilo kuliibuka gumzo kubwa na kulifanya jambo hilo kuwa
ndiyo habari ya mjini katika ulimwengu wa mastaa wa filamu za Kibongo.
No comments:
Post a Comment