“inshallah soon nitaanza kushot movie yangu ya kwanza ya actions inaitwa
( mr police man),ni bonge la movie mapigo ya kufa mtu na bonge la story
watu wangu i qwrty hd video na sound za kisasa nipeni surport watu wangu
tuonyeshe kimataifa kama tunaweza tukacheze holwood huko“
No comments:
Post a Comment