Diamond Platnumz aka Prezident wa WCB ametoa kali na mpya kwa kuamua
kujiita 'DoMo' kupitia ukurasa wake wa Instagram kama unavyo ona hapo
chini. Yawezekana amefikia hatua hiyo baada ya watu wengi kumkashifu mara
nyingi sababu ya mdomo wake.
Kwangu mimi sioni tatizo maana ndivyo alivyo umbwa na je alikuwa anauliza wakuandika
hivyo kweli? Au ndo kutupa cha kuongela? All in all he rocks big time being
one of the most successful artists in East Africa pamoja na 'DoMo'
No comments:
Post a Comment