Hakuna tena kitu kizuri kwa Chidi Benz siku hizi. Kwa muda mrefu rapper
huyo ambaye hivi karibuni ametokea kukubalika sana nchini Kenya (thanks kwa
mashavu anayopewa na Nonini) ameonekana kutoa yake ya rohoni yanayomuumiza
kupitia Twitter.
*Yeye na Wakazi kuna tatizo?*
Picha lilianza , baada ya Wakazi kutweet: Na ningependa kusema pia AY,
Dimpoz, Ally Kiba, FidQ, Shaa, Cpwaa, Black Rhino, Remi Ongala, Profesa Jay
& Lady Jaydee ni other Local heros!
Baada ya kuona ujumbe huo wa Wakazi, Chidi alimuuliza kishari ‘nini?’
Wakazi alichuna.
No comments:
Post a Comment