• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, October 30, 2013

    P-Unit kuachia albam mpya mwezi ujao

    Kundi la muziki la Kenya, P-Unit linatarajia kuachia albam yake mpya mwezi ujao.
    Albam hiyo iliyopewa jina, 'P-UNIT-Wagenge Hao Tena', itakuwa na nyimbo kama 'You Guy', 'Gentleman', 'Mobimba' na 'Show Time' iliyotoka Ijumaa iliyopita.
    "Baada ya kuachia video ya Show Time, hivi karibuni, tutaachia wimbo mmoja kabla ya kutoa albam mwezi ujao," member wa kundi hilo Bon'Eye aliliambia gazeti la The Star la Kenya.

    No comments:

    3500K