• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, October 30, 2013

    Davido: Sichaji hela yoyote nikishirikishwa kwenye wimbo

    Pamoja na kuwepo tetesi kuwa ili kumpata Davido kwenye remix ya ‘My Number One’, Diamond Platnumz alilazimika kukata $5,000, staa huyo wa Skelewuamesema, hachaji chochote anaposhirikishwa na msanii mwingine.
    Davido alikuwa akijibu swali la shabiki ambaye aliandika kuwa anaamini inaweza kumchukua bajeti kubwa msanii kumshirikisha Davido naye akajibu:
    ‘I don’t charge for features.’
    Rapper, Ice Prince naye anadai kuwa huwa hatozi chochote anaposhirikishwa.

    No comments:

    3500K