• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, October 31, 2013

    HUU NDIO UJIO MPYA KUTOKA KWA JOH MAKINI "NI PENZI" AMBAO ANATARAJIA KUACHIA SOON..

    Baada ya raia kuonekana kupokea vizuri ngoma ya Nikumbatie ambayo ammshirikisha Producer Fundi Samweli.
     Sasa rapper Joh Makini yuko mbioni kuachia ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Ni Penzi ambayo ambayo amemshirikisha msanii wa kizazi kipya maarufu kama Damian.

    No comments:

    3500K