*Mwimbaji kutoka THT Amini ameelezea pengo liloachwa moyoni mwake na
aliyekuwa mpenzi wake ‘Linah’, pengo ambalo kwa mujibu wake aliyechukua
nafasi hiyo ameshindwa kuliziba.*
**
*
**Mwimbaji huyo ameyatoa yake ya moyoni kupitia Instagram na kuonesha kuwa
bado anamhitaji Linah kwa kuwa ndiye mtu aliyekuwa anampa furaha na kwamba
hakuwahi kumkosea.*
*“Wakati kama huu ukifka uwa namuwaza sana uyu wa pembeni kiukweli ni mtu
ambea aliweza kunipa furaha akuwahi nikosea alifnya ninachokitka ila nilipo
sasa mmmmmh boko miss uuuuu linah kwani nini si nini tu.”*
Wednesday, October 30, 2013
Home
Unlabelled
AMINI AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU PENZI NA LINAH
No comments:
Post a Comment