• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, October 30, 2013

    HUYU NDIYE MSANII WA BONGO MUVI ALIYEWAPA MAKAVU WASANII WANAO JIPODOA MSIBANI..!!

    Msanii katika Kiwanda cha Filamu Nchini Tanzania Baturi amefunguka na kutoa ya moyoni kwa Wasanii na Raia wengine ambao kazi yao ni kujiremba na kujipodoa Pindi waendapo katika Misaba,kwani amefananisha hali hiyo ni sawa na Kwenda kuuza Sura wakati wenzako wapo katika Kipindi Kigumu.

    No comments:

    3500K