Mike Sonko, Mbunge wa Makadara nchini Kenya, na rafiki wa karibu wa
Jaguar, mwenye vioja kila kukicha ndani ya bunge, baada ya kuingia huku
akiwa ametupia hereni maskioni, jana alionekana na kioja kingine baada ya
kuingia bungeni akiwa ameonyoa burand new hair style ya kijiduku
kidogokidogo (mohawk), na kukiandika "PEACE" katikati
its more about music industry and social issues in and out of bongo land
No comments:
Post a Comment