Msanii wa Filamu hapa nchini maarufu kama Hemed a.k.a PHD,baada ya
kufanya vizuri katika tasnia hii ya Bongo Fleva leo ameamua kuweka wazi
na kutaja tarehe ya kutoka video yake mpya inakwenda kwa jina la Going
Crazy.Video hiyo anatarajia kuachia siku ya tarehe 20 mwezi huu kwa hiyo
kama wewe ni shabiki wa msanii huyu kaa tayari kwa ujio mpya kutoka kwa
Hemed.
No comments:
Post a Comment