• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, January 7, 2013

    HIZI NDIO IDADI ZA SHOW ALIZOFANYA BEN POL 2012



    wote tunafamu kuwa mwaka 2012 umekuwa ni mwaka wa mafanikio sana kwa msanii Ben pol, amekua akifanya shows hapa na pale karibu kila weekend, leo hii ametoa idadi ya shows alizozifanya mwaka 2012.

    "kwa kuhesabu hivi kwaharakaharaka zinaweza zikafika hata 60... na ndio mwaka pekee ambao nime experience kufanya show katika ya wiki, mpaka nafanya show jumatano.....hakuna mwaka ambao nimefanya shows nyingi kama mwaka 2012....karibia kila wiki nimekuwa nikifanya shows...ilifika point nikawa sijui tarehe zangu ambazo zimeshalipiwa mpaka nipekue diary kufaham...zaidi namshukuru mungu na wadau na fans pia" amesema Ben Pol...fanya kumsikiliza hapo chini

    No comments:

    3500K