siku kadhaa baada ya kuachia utamu pamoja na cover ya single hiyo
kutoka, huku Ommy Dompoz akiwa hayupo katika cover hiyo, kupitia Top 20
ya Clouds Fm, dully amesema sababu zilizofanya Dim[poz asiwepo kwenye
cover
" ilikua ni haraka haraka siku ambayo tulikua tunaenda kupiga picha, na
tulikua hatujaipanga, so bahati mbaya Ommy akawa yupo ubalozini
akshindwa kuwepo kwasababu tulienda kupiga picha asubuhi, ila mi sina
biff na mtu yoyote na wao mi niliwalea kabla ya kuwa na majina mpaka leo
hii wana majina yao ndo maana nikiwaomba collable hawawezi kataa"
amesema dully...zaidi msikilize hapo chini
No comments:
Post a Comment