Baada mitandao mbalimbali kuandika story kuzusha kwamba Professa Jay
amekufa wakati si kweli ni story za kuzusha tu.Sasa leo Dj choka kwa sababu
ni mtu wake wa karibu sana aliweza kuandika katika ukurasa wake wa facebook
na kusema ni story za uongo sasa na mtu mzima Professa Jay naye akaweka
wazi soma hapo
No comments:
Post a Comment