Msanii rapper wa Bongo Fleva maarufu kama Nay wa mitengo baada ya kutoa
ngoma yake inayofahamika kwa jina la Wamenichokoza sasa siku za hivi
karibuni ndiyo alikuwa akifanya video ya ngoma hiyo na video hiyo amefanyia
maeneo ya makaburini.Kwa hiyo wale mashabiki wa Nay kaa tayari kwa ujio
mpya kutoka kwa Nay.
To the extent possible under law,
Filex Mmari
has waived all copyright and related or neighboring rights to
blog.
This work is published from:
Tanzania, United Republic of.
No comments:
Post a Comment