Msanii kutoka *Tmk Wanaume Family* maarufu kama *Chege Chigunda *baada
kutamba na ngoma kali iliyofahamika kwa jina la Mwanayumba,sasa basi kwa
sasa hivi yupo katika maandalizi ya kuachia video yake mpya inayokwenda
jina la *Uswazi.*
* Hizi* ni baadhi ya picha za *utengenezaji* wa video hiyo mpya ya chege *Uswazi
No comments:
Post a Comment