Kwenye Spotlight ya Powerjams ya East Africa Radio msanii Chege kwenye
Picha anayewakilisha kundi la TMK Wanaume Family aliyewahi kufanya poa
na ngoma kama 'Lover Boy','Twende zetu','Dude la Kimataifa' na zingine
kibao alifunguka kuhusu historia ya maisha yake,alikozaliwa,kuingia
kwenye muziki,kuanzisha kundi la Wanaume Family,Tuzo,kuingia kwenye
Filamu na Mipango yake kwa sasa..MSIKILIZE hapo chini
Thursday, November 15, 2012
Home
Unlabelled
KUHUSU MISHEMISHE ZA KIMUZIKI ALIZOPITIA CHEGE WA TMK FAMILY,KUINGIA KWENYE FILAMU NA MIPANGO YAKE KWENYE GEMU MSIKILIZE
No comments:
Post a Comment