Mkali
wa muziki wa Injili Daddy Owen Aliyejitoa kwenye tuzo za muziki za
kisima ilikuwapa nafasi wasanii wengine wanaochipukia kupata nafasi ya
kushinda ameshinda million mbili za Kenya kupitia wimbo wake wa `Mbona'
alioshirikishwa Denno. Performance yake ya hii ngoma kwenye tuzo za
kisima ndio imempa ushindi huu na nusu ya pesa hizi zitaenda kwa
aliyeshirikishwa ambaye ni Denno na nyingine zitaenda kwenye mfuko wa
Taasisi ya Mbona .[ The Mbona Foundation]
Thursday, November 15, 2012
Home
Unlabelled
DADDY OWEN Ashinda Million mbili kwenye Kisima
No comments:
Post a Comment