Kijana
huyoalifika Clouds Fm na kudai kuwa yeye ni mtoto
wa msanii Juma Nature na kujitambulisha kama Samson Juma Kassim
Kiroboto, Samson anatokea Morogoro na kwa maelezo yake yeye amezaliwa
mwana 1995.
"Mama
yangu ameshafariki na nilishawahi kwenda mpaka kwa baba yangu Juma
Temeke nikiwa na bibi yangu, lakini aliponiona tu akanifukuza akasema
hataki kuniona tena " hayo ndio yalikua maelezo ya Samson.
unaona kuna kufanana na nature katika picha hiyo?
No comments:
Post a Comment