Leo ni siku ya
kuzaliwa Dogo Janja msanii kutoka Mtanashati Ent, anasema anajisikia poa
sana kutimiza miaka 18 leo na kuingia step nyingine ya maisha.
Mimi binafsi napenda huu music ambao dogo janja akiwa na chegge siri zao.huu ni maalum kwa wasomaji wa blog hii ya Filex Mmari ALL ABOUT LIFE dogo janja big up dogo
Saturday, September 15, 2012
Home
Unlabelled
HAPPY BIRTHDAY DOGO JANJA KWA KUTIMIZA MIAKA 18
No comments:
Post a Comment