• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, August 22, 2012

    "NIPO TAYARI KUWA NA MPENZI ILA SIYO MUME".....AMANDA



    MSANII wa filamu Bongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa hataki kusikia habari ya ndoa kwani ameshaonja uchungu na utamu wake.
     Amanda alisema
    kwa sasa hafikirii suala la ndoa na badala yake ataishi katika uhusiano wa kimapenzi tu na mtu kwani ni vigumu kwa mwanamke kukaa bila kuwa na mwanaume.
    “Sitaki hata kusikia ndoa kwa sababu nimeshaonja kwa aliyekuwa mume wangu Hamis Bwela kwa hiyo sina wazo kabisa labda itakuja kutokea hapo baadaye lakini kwa sasa ninaweka nguvu zangu katika kazi tu,” alisema Amanda.

    No comments:

    3500K