Mkuu wa Wilaya ya
Serengeti Kapteni Mstaafu James Lyamungu amefariki dunia,kwa mujibu wa
mkuu wa mkoa wa Mara Bw. John Tuppa amesema ameshutushwa na Msiba huo na
kuwapa pole wananchi wote wa Serengeti na mkoa wa Mara.
source www.mwanawaafrika.blogspot.com
To the extent possible under law,
Filex Mmari
has waived all copyright and related or neighboring rights to
blog.
This work is published from:
Tanzania, United Republic of.
No comments:
Post a Comment