Waziri wa katiba na sheria Mathias Chikawe azuru chuo cha Tumaini Iringa
Mwalimu Paulo Ndenguro akiwa anatoa maana ya
katiba na jinsi
inavyopaswa kupewa kipaombele katika
jamii
Prof. Ceth Nyagava akiwa anamkaribisha waziri wa katiba na sheria kwa ajili ya hotuba
Waziri wa katiba na sheria Mh. Mathias Chikawe akielezea mchakato
mzima wa katiba na sheria ulipofikia
Wasanii Mpoki na Ommy Dimpozi nao walikuwepo
ndani wakimsikiliza waziri wa katiba na sheria
Mwanafunzi wa kitivo cha sheria mwaka wa tatu
maarufu kama Karl Marx akiwa anauliza swali
Mh. waziri akijibu akijibu maswali ya wanafunzi kulia ni mkuu wa mkoa wa Iringa Bi. Christine Ishengoma
Mpoki akiwa naye anatoa mchango wake katika mchakato wa katiba unaoendelea hapa nchini
No comments:
Post a Comment