Waislamu
waliandamana huku wakiwa na mabango yenye kutaka watendewe haki ambapo
wamelaani vikali baraza hilo
la mitihani na wamelitaka lijiuzulu. Mapema jeshi la lilikuwa limepiga marufuku
maandamano hayo ya Waislamu. Siku chache zilizopita pia, Mufti wa Tanzania,
Sheikh Issa bin Shaaban Simba kupitia Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA
alimtaka Katibu Mkuu wa NECTA, Dk Ndalichako ajiuzulu kufuatia kashfa hiyo ya
kuhujumiwa matokeo ya mitihani ya wanafunzi Waislamu.
No comments:
Post a Comment