ROBERT LEWANDOWISKI
DIMITRIOS SALPINGIDIS
TYTON
Baada ya ngoja ngoja ya muda mrefu hatimaye pazia
la kinyang'anyiro cha kombe la mataifa ya bara la Ulaya limefunguliwa na Mwenyeji
wa Michuano ya Mataifa ya Ulaya Poland
akitoka sare ya 1-1 katika mechi ya ufunguzi ya michuano hiyo na Ugiriki.
Mechi hiyo ya Ufunguzi ilikuwa ngumu kwa pande zote kukishuhudiwa kosa kosa za kila timu . Ugiriki walipata penati lakini Mlinda Mlango Tyton aliyeingia mbadala wa Szczesny. Mabao yalifungwa na Scoring Summary
Poland
|
Greece
|
Robert
Lewandowski (17')
|
Dimitrios
Salpingidis (51')
|
|
Giorgos
Karagounis (pen miss 71')
|
No comments:
Post a Comment