H
|
abari rasmi kutoka kwenye kamati ya usajili ya klabu ya Yanga ni
kwamba timu hiyo leo imekamilisha usajili wa kinda la timu ya taifa ya Tanzania
aliyeng'ara kwenye mchezo wa jumapili iliyopita dhidi ya Gambia Frank Domayo.
Domayo ambaye alikuwa akiichezea JKT Ruvu msimu uliopita,
amesaini mkataba wa miaka 3 kuitumikia Yanga, huku akilipwa shilingi millioni
20 kama ada ya usajili na atakuwa akilipwa shilingi millioni moja kama msharaha
kwa miaka 3 ijayo.
No comments:
Post a Comment