ELIZABETH
Michael “Lulu” jana alifikishwa mahakamani na kurejeshwa mahabusu bila
kupandishwa kizimbani na kesi yake kupangiwa kurudi Julai 2
Mshtakiwa
huyo alifikishwa mahakamani hapo lakini hakupandishwa kizimbani na badala yake
alirudishwa mahabusu Katika uchunguzi uliofanywa na mtandao huu ulibaini kuwa, Mahakama Kuu imeamuru mwenendo wa kesi katika mahakama hiyo usimame kufuatia mchakato unaoendelea wa uchunguzi wa kubaini umri wa mshitakiwa huyo.
Hivyo mahakama kuu ilitoa tamko kuwa itashughulikia mwenendo wa kesi hiyo hadi hadi muafaka wa umri huo utakapotatuka
No comments:
Post a Comment