Baada ya kufanya vibaya katika msimu
uliopita, Yanga wameendelea kuunda timu upya, baada ya juzi kumsainisha
Kelvin Yondan, leo hii timu hiyo imehamia kwenye benchi la ufundi.
Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya
zinasema klabu hiyo imemtumia tiketi ya ndege kocha wa zamani wa timu ya
taifa ya Tanzania, Marcio Maximo kwa ajili ya kuja kufanya mazungumzo
ya kujiunga na klabu hiyo kwa ajili ya kuliongoza benchi la ufundi la
wanajangwani kuanzia msimu ujao.
No comments:
Post a Comment