*Linex jana jioni hadi usiku wa kuamkia leo alikuwa pande za Kunduchi
Beach Hotel akishuti video yake mpya na kampuni ya video inayojulikana kwa
jina la Visual lab chini ya Dir Adam Juma. Wimbo ambao ulikuwa ukishutiwa
unajulikana kwa jina la AIFORA ambao umetengenezwa katika studio zilizopo
Kibaha chini ya Producer F
by Filex Mmari camera tchaaaaaaaaaaao
No comments:
Post a Comment