Mchezaji
Kelvin Yondani akisaini mkataba wa usajili mbele ya kiongozi wa Yanga
Seif Ahmed usiku huu, katika picha hii Yondani anaonekana akiwa amevaa
fulana na timu ya taifa ambazo zimeanza kutumika mwezi mmoja uliopita
baada ya stars kuingia mkataba na TBL KUPITIAKilimanjaro.
Taarifa nilizozipata hivi punde Yondani
amefuatwa kwenye kambi ya timu ya Taifa iliyopo kwenye Hotel ya Tansoma
jijini Dar Es Salaam. PICHA HABARI KWA HISANI YA SHAFFIH DAUDA |
No comments:
Post a Comment