Member
wa kundi la tmk wanaume faimly ambaye kwa sasa ana rock kwenye speaker
za radio yako na ngoma called mwanayumba, namzungumzia mtoto wa mama
saidi chege chigunda amedai kuwa yeye bado yupo yupo saaana, hana mpango
wa kuchukua jiko kwa kile alichodai ndoa zina problem,
na hata ma swahiba zake kina mh.temba hawamshauri kufanya hivyo, zaidi ya kumwonya kuwa asifanye hivyo
Chege
mwenye mtoto mmoja ambae anaishi na mama yake, na mwingine alifariki
dunia hivi karibuni, siku chache baada ya kuzaliwa pia akafunguka kuwa
amekamilisha mjengo wake ambao bado hajaamia na wakazi wa mtaa wake wapo
kwenye process za kuuita mtaa huo kwa jina la chege
No comments:
Post a Comment