Ufuatao chini ni ukumbusho wa picha chache kati ya nyingi ambazo nilizipiga siku ile pale CCM-Kirumba zikimwonesha marehemu Kanumba jinsi alivyokuwa akijichanganya na mastaa wenzake wa Movie. Fuatilia:
Basi lililokuwa limewabeba wasanii wa Bongo Movie akiwemo pia marehemu Steven Kanumba likiingia uwanjani huku likizongwa na watu kibaooo.
Watu wakikata tiketi za kuingia ndani uwanja kuweza kushuhudia mechi kati ya Bongo Movie na Mwanza All Stars.
Gari likiingia ndani ya uwanja.
Richie (Kushoto) na Tino wakiwasalimia wana Mwanza.
JB akitroti kuelekea uwanjani.
Jalamba likaanza. Marehemu Steven Kanumba (Wasaba kutoka kushoto)
Marehemu Kanumba katikati akifanya mazoezi ya viungo.Swahiba wake Ray, Richie, Tafu na marehemu Kanumba (Jezi nambari 11).
Nambari 11, ndiyo ilikuwa jezi ya marehemu Steven Kanumba.
Waweza mtafuta mwenyewe utamwona tu katikati humo.
Richie akisogelea mpira.
Ray nae alikuwepo.
Ben na Claud 112.
R.I.P braza.
Kikosi kizima cha Bongo Movie.
Na wanawake waliokuja nao.
Tabasaaamu, limeshapotea.
Benchi la Mwanza All Stars.
Bongo Movie wakishangilia goli lao ambalo lilifungwa na Ray.
Half time
Bibie Wema Sepetu naye akijishebedua.Nakumbuka hapa tulimzinga wapiga picha wengi kila mtu akitaka picha yake.
Mwamjua huyu..? Anaitwa Mwanaidi Suka a.k.a Mainda.
Shosti huyooo, Amber Rose wa Bongo, Wolper.
Mayasa Mrisho 'Maya', Amber Rose 'Wolper' Masawe, Jack Pentzel (Jack Chuzi), Cathy
No comments:
Post a Comment