Mwanamke
ambae jina lake halikuweza kufaamika alijikuta akiambulia kipigo kutoka
kwa wananchi baada ya kutuhumiwa kumchomolea mama mmoja simu ya kokononi
maeneo ya mtaa wa Kongo jijini Dar es salaam.
Hapa akichukua kichapo kutoka kwa wanchi wenye hasira kali
.
.
Hapa akikimbia baada ya kichapo kilichomtia adabu
No comments:
Post a Comment