Mtuhumiwa
wa kuunganisha umeme kinyemela (KISHOKA)kwenye majengo ya kariakoo
jijini Dar es salaa leo ambaye jina lake halikufahamika akishikiliwa na
askari wa jeshi la polisi baada ya Shirika la umeme Tanesco kuendesha
operesheni ya kukamata wanaoiba umeme kwenye mkoa wa Dar es salaam
manispaa ya Ilala
Fundi
kutokaShirika la kuzalisha umeme Tanesco Bi.Fadha Wiliamu akiangalia
mita zilizounganishwa kwa njia ya wizi katika majengo hayo
No comments:
Post a Comment