Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul na watoto wake Irene (kushoto) na Inocentia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12,2012. |
Spika wa Bunge Anne Makinda akimkabidhi kanuni za Bunge Mbunge wa Kuteluliwa James Mbatia baada ya kumwapisha, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12,2012 |
Mbunge wa Kuteuliwa Janet Zebedayo Mbene akiapa, Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012 |
Mbunge waKuteuliwa Saada Mkuya Salum akiapa Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012. |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa (kushoto) na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2012. |
Mbunge wa Kuteuliwa, Sospeter Mwijarubi Muhongo akiapa, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment