• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, June 13, 2012

    BlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Links to this post MAMA WEMA SEPETU AMPA MAKAVU JACKLINE WOLPER!!

    Kama mfuatiliaji mzuri wa myenendo ya mastaa wa Bongo utaikumbuka ile kauli ya Ambarozi wa Bongo hapa namzungumzia Wolper ambaye siku kadhaa zilizopita alisikika akitoa kauli ya kwamba "Atamnunulia Wema Sepetu kitanda", Kauli ambayo leo hii tumeona kwenye kipindi cha Take One cha Zamaradi pale Clouds Tv mama huyo akiongea kwa jazba juu ya kauli ya Wolper huku akitoa maneno makali na kuonesha chumba alichomlelea mwanae toka akiwa mdogo hadi alipohamia kwenye nyumba mwenyewe anazoziita za vichochoroni na kusema Kuwa Wolper asijaribu kujifananisha na mwana

    No comments:

    3500K