Siku chache baada ya kusema kwamba hawezi kuiomba mkataba mpya
Yanga baada ya wa zamani kuisha, nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya
Tanzania Shedrack Nsajigwa sasa yupo nchini Kenya akifanya mazungumzo ya
kujiunga na klabu kongwe ya nchi hiyo Gor Mahia.
Taarifa rasmi zilizoifikia shaffihdauda.com kutoka nchini Kenya
zinasema kwamba Nsajigwa ametua Kenya jana na leo amekutana na viongozi
wa klabu ya Gor Mahia na so far mazungumzo yanaenda vizuri na muda
wowote wanaweza kufikia makubaliano na Nsajigwa akajiunga na mtanzania
mwenzie ambaye walikuwa wakicheza wote Yanga na timu ya Taifa, Ivo
Mapunda
Saturday, June 9, 2012
Home
Unlabelled
BAADA YA KUONDOKA YANGA, HAPA NDIPO ALIPOKWENDA SHEDRACK NSAJIGWA.
No comments:
Post a Comment