• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Saturday, June 9, 2012

    YONDAN AKABIDHIWA JEZI YAKE YANGA

    Beki wa Simba, Kelvin Yondan akikabidhiwa jezi ya klabu yake mpya, Yanga na mwanachama wa Yanga, Seif Ahmad 'Magari'. Kaka yake Kelvin Yondan akiusoma kwa makini mkataba wa Yanga, kabla ya kumruhusu mdogo wake kusaini Yondan anatia dole gumba nguvu zake zote Yondan anamwaga wino kwa umakini wa hali ya juu Yondan akiangalia fedha huku akinywa maji kupoza koo, kulia ni ka

    No comments:

    3500K