• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, September 9, 2016

    Harmonize na Wopler, wanaishi kama familia waendelea na shopping pamoja


    Wapenzi wawili Harmonize pamoja na Jacqueline Wolper wanaendelea kuuonyesha umma jinsi wanavyopendana. [image: 4k0a2146x] Wawili hao Alhamisi hii walienda shopping pamoja na kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali katika Mall moja hapa jijini Dar es salaam. Hivi karibuni mwigizaji huyo alipost picha akiwa jikoni huku akiandaa chakula kwa ajili ya muimbaji huyo wa wimbo Matatizo. [image: cds] *Harmonize akimkabidhi maharage Wopler* Hali hiyo imezua tetesi katika mitandao ya kijamii kuwa huwenda wawili hao wakawa wanaishi pamoja.

    No comments:

    3500K