• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, September 8, 2016

    Irene Uwoya, Bhoke Wambura wamgombania Chid Benz!


    TEMA nyongo! Ndivyo unavyoweza kusema. Mrembo ambaye hivi karibuni jina lake limeanza kutamba kwenye mitandao ya kijamii pia ni mtangazaji wa redio ya Jembe ni Jembe, Bhoke Wambura, amemtolea uvivu mwigizaji Irene Uwoya akidai amuachie mpenzi wake ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’. Bhoke alifunguka hayo hivi karibuni alipokuwa akifanya mahojiano na gazeti hili na kubainisha kuwa anaumia kuona Uwoya anaingia kwenye anga zake wakati watu wa karibu na Chid wanamsema yeye kuwa aachane na Chid kwani anamrudisha kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.

    No comments:

    3500K