• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, December 8, 2013

    MATUKIO MBALIMBALI YA JINSI WANACHAMA WALIVYOICHARUKIA CHADEMA, KIGOMA .... WACHOMA MOTO BENDERA NA KADI ZAO ILI KUFIKISHA UJUMBE KWA MBOWE NA SLAA

    [image: Chadema chama kilichojengwa kwa NGUVU kubwa ya propaganda ya vyombo vya habari vya IPP kwa ushilikiano mzuri wa baadhi ya magazeti, Sasa kimebaki HISTORIA mkoani KIGOMA, bendera kadi,zinachomwa MOTO hadharani vijiwe ofisi zinabomolea, Mandamano makubwa kufanyika MWANZA J'pili SINGIDA nao wajianda pengine ni nchi nzima, R I P chama cha Kaskazini Chadema] Wanachama na wafuasi wa Chadema wakiandamana katika mitaa mbalimbali ya kigoma ili kupinga ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Slaa mkoani humo pamoja na kupinga maamuzi yanayofanywa na Kamati kuu ya Chadema

    No comments:

    3500K