• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, December 3, 2013

    BAADA YA PICHA ZA UTATA ZA JUX NA JACK KUZAGAA ZIKIWAONESHA NI WAPENZI, JACK AFUNGUKA NA KUSEMA HAYA...!!

    MWANAMITINDO maarufu nchini, Jack Patrick amemtetea msanii Juma Khalid ‘Jux’ kwa kusema ni marafiki wa kawaida na kukanusha taarifa za uhusiano wa kimapenzi zilizozagaa. *Jack akiwa na Jux katika pozi.* Alisema anapoona katika mitandao na baadhi ya magazeti yakiandika kuhusu uhusiano wa kimapenzi, hujisikia vibaya kwa vile kunamtibulia kwa mpenzi wake anayemhisi vibaya.“Kama kuna mapenzi lazima ningeweka wazi tu na kama itatokea nitaweka wazi, naomba watu wasinihukumu kwa kutumia picha, picha ni nyingi na wataona nyingi zikiendelea kwa sababu sisi wote tunapenda kupiga picha,”

    No comments:

    3500K