• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, December 9, 2013

    ARSENAL YASHIKWA YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA EVERTON

    *Mesut Ozil akiifungia Arsenal bao la kuongoza katika dakika ya 80 ya mchezo.* *Ozil akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kufunga bao.* *Gerard Deulofeu wa Everton (kushoto) akishangilia bao la kusawazisha dakika ya 81 ya mchezo.* *Beki wa Arsenal Laurent Koscielny (kushoto) akijaribu kumzuia Steven Pienaar wa Everton wakati wa mchezo huo.* Timu ya Arsenal imeshikwa baada ya kutoka sare ya 1-1 na Everton katika mechi ya Ligi Kuu England iliyopigwa Uwanja wa Emirates jijini London, Uingereza hivi punde. Bao la kuongoza la Arsenal limewekwa kimiani na Mesut Ozil dakika ya 80

    No comments:

    3500K