• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, January 11, 2013

    TEMBA ALIZWA TENA,SASA AIBIWA HADI MADAFTARI YA SHULE



    Ikiwa imepita miezi miwili tu tangu wezi waifanyie kitu mbaya gari ya Mheshimiwa Temba aina ya Verossa, kwa mara nyingine tena wezi wameiba vifaa vya gari lake.
    Taarifa hiyo imetolewa na leo na Chege kupitia Twitter ambaye ameandika:

    Wazee wa power window mtuhurumie!watu hata bila huruma wamemuibia tena vitu vya gari temba,lkn mwisho wa mchezo huu hautokua mzuri ni lawama.

    Mwishoni mwa mwaka uliopita watu wasiojulikana waliiba vifaa vya gari lake wakati lilipokuwa limeegeshwa nyumbani kwake.

    Vifaa vilivyoibiwa katika tukio la kwanza ni pamoja na power window, side mirror zote taa za nyuma, radio leseni hadi madaftari yake ya shule

    No comments:

    3500K