• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, October 18, 2012

    MAKAMUA KUFANYA COLLABO NA AKON.

    Photo: MAKAMUA KUFANYA COLLABO NA AKON.

Mkali kwanza Mark 'Makamua' Paul ameiambia Bongo5 exclusively kuwa iwapo mambo yakienda kama anavyotarajia hivi karibuni atawaacha mdomo wazi mashabiki wa muziki wa Tanzania kwa kumshirikisha bosi wa Konvict music, Akon.
"Sijakiongelea kwanza kwasababu nataka kifike kwenye climax halafu niweze kuongea", amesema Makamua kujibu swali la kwanini suala hilo amechelewa kulisema.
"Maongezi yameshafanyika na kila kitu kimeshafanyika, actually tulikuwa tulikuwa tunajaribu kutuma vitu then zirudi halafu na mastering tujue tunafanya nini, tunabalance vipi huku na kwao then tujue project inaraniwa vipi"

Makamua amesema wimbo huo unaitwa "Bado kujuana" yaani bado kujuana you need my money fine you can chop my money but first me i want to get to know you better before you chop my money.
Nimeimba kiswahili na kingereza lakini kingereza kimetawala zaidi" akiongea jinsi alivyoweza kupata connection na AKON, Makamua amesema sana sana online na vitu kama hivyo, si unajua tena wenzetu wamepata nafasi ya kukutana na watu kama hao.
Kwa hiyo sana sana South  Afrika pale kuna jamaa yuko close na jamaa".. 
     
    Mkali kwanza Mark 'Makamua' Paul ameiambia Bongo5 exclusively kuwa iwapo mambo yakienda kama anavyotarajia hivi karibuni atawaacha mdomo wazi mashabiki wa muziki wa Tanzania kwa kumshirikisha bosi wa Konvic
    t music, Akon.
    "Sijakiongelea kwanza kwasababu nataka kifike kwenye climax halafu niweze kuongea", amesema Makamua kujibu swali la kwanini suala hilo amechelewa kulisema.
    "Maongezi yameshafanyika na kila kitu kimeshafanyika, actually tulikuwa tulikuwa tunajaribu kutuma vitu then zirudi halafu na mastering tujue tunafanya nini, tunabalance vipi huku na kwao then tujue project inaraniwa vipi"

    Makamua amesema wimbo huo unaitwa "Bado kujuana" yaani bado kujuana you need my money fine you can chop my money but first me i want to get to know you better before you chop my money.
    Nimeimba kiswahili na kingereza lakini kingereza kimetawala zaidi" akiongea jinsi alivyoweza kupata connection na AKON, Makamua amesema sana sana online na vitu kama hivyo, si unajua tena wenzetu wamepata nafasi ya kukutana na watu kama hao.
    Kwa hiyo sana sana South Afrika pale kuna jamaa yuko close na jamaa"..

    No comments:

    3500K