• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, October 18, 2012

    DIAMOND KUFANYA COLLABO NA NAJMA.

    Photo: DIAMOND KUFANYA COLLABO NA NAJMA.

Naweza kusema kwamba Diamond mwaka huu kwake umekuwa ni mwaka wa mafanikio mazuri sana kama vile alivyopata shavu la kwenda nchini Marekani kupiga show pia juzi juzi akatangazwa katika mtandao mkubwa unaofahamika kwa jina la MSN kwamba yeye ni King of Bongo fleva.
Sasa habari nyingine ambayo tumeipata ni kwamba msanii huyu usiku wa kumkia leo alikuwa AM Record kwa Manecky akifanya collabo na msanii anayefahamika kwa jina la Najma lakini bhana atukubahatika kufahamu jina la ngoma hiyo.

Pichani ni Daimond na Najma. 

    Naweza kusema kwamba Diamond mwaka huu kwake umekuwa ni mwaka wa mafanikio mazuri sana kama vile alivyopata shavu la kwenda nchini Marekani kupiga show pia juzi juzi akatangazwa katika mtandao mkubwa unaof
    ahamika kwa jina la MSN kwamba yeye ni King of Bongo fleva.
    Sasa habari nyingine ambayo tumeipata ni kwamba msanii huyu usiku wa kumkia leo alikuwa AM Record kwa Manecky akifanya collabo na msanii anayefahamika kwa jina la Najma lakini bhana atukubahatika kufahamu jina la ngoma hiyo.

    Pichani ni Daimond na Najma.

    No comments:

    3500K