• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, October 25, 2012

    JOH MAKINI SOON KUACHIA NGOMA YAKE ILIYOKAA NDANI MIAKA 4

    NEWZ>>>FILEX MMARI

    Photo: EXCLUSIVE: JOH MAKINI SOON KUACHIA NGOMA YAKE ILIYOKAA NDANI MIAKA 4

Kama utaambiwa utaje wasanii wakali Bongo wanakinukisha katika anga za Hip Hop hata wakiwa watatu basi jina la Joh Makini alias Mwamba wa Kaskazini lazima litakuwepo kwenye hiyo list.

Mkali huyu toka A-Town na bado anakinukisha vilivyo pande za Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Alisema yupo mbioni kuachia ngoma yake mpya ambayo ilikuwa imekaa ndani takribani miaka minne mpaka sasa.

Ngoma hiyo inaitwa “Sijuti” ambayo ilitengenezwa ndani ya studio za 41 Records chini ya producer Dunga. Kwasasa Joh Makini ambaye ni member wa kundi la Weusi linalofanya vizuri kutokana na nyimbo zao kali wanazozitoa kuanzia G-Nako, Nick wa Pili, Lord Eyez na Bonta. Joh kwa sasa anatamba kwa single yake ya “Manuva” ambayo video yake inasumbua kwenye vituo mbalimbali vya TV hapa bongo na nje ya mipaka. 
     Kama utaambiwa utaje wasanii wakali Bongo wanakinukisha katika anga za Hip Hop hata wakiwa watatu basi jina la Joh Makini alias Mwamba wa Kaskazini lazima litakuwepo kwen
    ye hiyo list.

    Mkali huyu toka A-Town na bado anakinukisha vilivyo pande za Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Alisema yupo mbioni kuachia ngoma yake mpya ambayo ilikuwa imekaa ndani takribani miaka minne mpaka sasa.

    Ngoma hiyo inaitwa “Sijuti” ambayo ilitengenezwa ndani ya studio za 41 Records chini ya producer Dunga. Kwasasa Joh Makini ambaye ni member wa kundi la Weusi linalofanya vizuri kutokana na nyimbo zao kali wanazozitoa kuanzia G-Nako, Nick wa Pili, Lord Eyez na Bonta. Joh kwa sasa anatamba kwa single yake ya “Manuva” ambayo video yake inasumbua kwenye vituo mbalimbali vya TV hapa bongo na nje ya mipaka.

    No comments:

    3500K