• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, October 25, 2012

    MWANA FA SOON KUFANYA COLLABO NA WASANII KUTOKA KENYA

    NEWZ>>>FILEX MMARI



    Photo: MWANA FA SOON KUFANYA COLLABO NA WASANII KUTOKA KENYA

Mwaka huu umekuwa ni mwaka wenye mafanikio mbalimbali kwa wasanii wetu wa hapo Tzee kama kwa mfano tumesikia Dogo janja ana mchakato wa kufanya collabo na mtu mzima prezzo mara baadaye tukasikia kwamba Baby madaha naye afanya collabo na Nameless kweli mafanikio ya wasanii wa hapa bongo land yanakuwa mazuri.Sasa habari nyingine niliyoipata kwa mtu mzima Mwana FA ni kwamba ana mipango ya kufanya collabo na Wyre pamoja na Prezzo katika ngoma yake mpya. tunamtakia All the best katika collabo hiyo. 
     Mwaka huu umekuwa ni mwaka wenye mafanikio mbalimbali kwa wasanii wetu wa hapo Tzee kama kwa mfano tumesikia Dogo janja ana mchakato wa kufanya collabo na mtu mzima prezzo mara baadaye
    tukasikia kwamba Baby madaha naye afanya collabo na Nameless kweli mafanikio ya wasanii wa hapa bongo land yanakuwa mazuri.Sasa habari nyingine niliyoipata kwa mtu mzima Mwana FA ni kwamba ana mipango ya kufanya collabo na Wyre pamoja na Prezzo katika ngoma yake mpya. tunamtakia All the best katika collabo hiyo.

    No comments:

    3500K