Diamond akiimba kwa hisia kali
wakati wa uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika katika ufukwe
wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom
Tanzania, litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na
kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiwa amebebwa juujuu
na wacheza shoo wake hapo jana wakati wa uzinduzi wa Tamasha
la"WAJANJA"lililofanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi Coco
beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika
katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na
twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Chid Benz akiwapagawisha
mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa Tamasha
la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco
beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika
katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na
twitter bure.
Msanii wa muziki wa kizazi
kipya Nay Wamitego toka kundi la mkong'oto jazz band akionyesha umahiri
wake wakati wa uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye
ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na
Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na
lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa
kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini
na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz akiwapagawisha
mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa Tamasha
la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco
beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika
katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na
twitter bure.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Nay Wamitego toka kundi la mkong'oto jazz
band akionyesha umahiri wake wakati wa uzinduzi wa Tamasha
la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco
beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika
katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na
twitter bure.
Mwanamziki wa kizazi kipya
Sheta na mwenzake wakipagawisha wakati wa uzinduzi wa Tamasha
la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco
beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika
katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na
twitter bure.
Msanii anaechipukia kwa kasi Dogo Lila Modigo ambae ni mwanafunzi wa
darasa la pili,akionyesha kipaji chake wakati wa uzinduzi wa Tamasha
la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco
beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika
katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na
twitter bure.
Nyomi
ya watu walifika katika uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika
kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa
na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa
na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa
kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini
na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz kushoto akibadilishana
mawazo na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Kevini Twissa wakati
wa uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari
ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom
Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na
kuperuzi facebook na twitter bure.
Mtangazaji
wa CloudsFM radio ya watu Hamis Mandi-B12 (kushoto)akibadilishana
mawazo na Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude,
wakati wa uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa
bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom
Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na
kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiingia stejini kwa
mbwembwe kali wakati wa uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika
katika ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa
na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa
na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa
kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini
na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Bosi
nyuma ya steji wakati wa uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika
kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa
na Vodacom Tanzania.
Msanii
anaechipukia kwa kasi Dogo Lila Modigo ambae ni mwanafunzi wa darasa la
pili,akionyesha kipaji chake wakati wa uzinduzi wa Tamasha
la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco
beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika
katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na
twitter bure.
Bro kama buti yako ni kali ila na yangu ni noma zaidi...alisikika Dogo
Lila akiongea na Mtangazaji wa Clouds Fm B12 wakati wa uzinduzi wa
Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco
beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika
katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na
twitter bure.
No comments:
Post a Comment