• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, June 20, 2012

    MTU ALIYEMWIBIA GARI KHADIJA KOPA AKAMATWA,!!


    May  ya mwaka huu kulisikika habari za kuibiwa kwa gari la mwimbaji wa Taarabu Malkia Khadija Kopa ambalo lilikuwa aina ya Noah lililokuwa limelazwa sehemu ya kupaki magari kwa kulipia. Gari hilo lililoibiwa maeneo ya Mwananyamala pamoja na magari mengine liliweza kukamatwa mjini Moshi likiwa limepakiwa nyumbani kwa mtu huku likiwa limeng'olewa rim zote huku likiwa limewekwa rehani na mtu ambaye alilinunua gari hilo, taarifa zaidi
    zinadai kuwa jambazi aliekamatwa na kuhusika na wizi huo anafahamika kwa jina la Ringo na anashikiliwa na polisi pia akiwa amekamatwa na magari mengine matatu.

    No comments:

    3500K